ZIARA YA MWANASHERIA MKUU TUNDU LISSU (MB) ULAYA NA MAREKANI Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari ...
Mwanasheria Mkuu wa Chama Mhe. Tundu Lissu anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi katika nchi mbili za Ulaya na Marekani kuanzia Jumatatu, Januari 28, mwaka huu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) tumepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa za tukio la shambulizi linalohusishwa na ugaidi, lililofanyika...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jana tarehe 22 Octoba 2018 aliongoza kikao cha ndani cha...
Waziri kivuli wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Goodbles Lema mamepma leo amitaka Serikali kuruhusu wachunguzi kutoka nje na kwa kufanya...
Ndugu waandishi, Zipo taarifa potofu zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Mwenyekiti wa Chama Mhe.Freeman Aikaeli Mbowe na Katibu Mkuu Dr.Vincent...
Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman Mbowe akizindua Sera ya CHADEMA toleo la Mwaka 2018, ghafla hiyo ya uzinduzi...
Naibu Katibu Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Kibamba Mhe. John Mnyika akiwa amefatana na Mgombea Ubunge Jimbo la Buyungu pamoja na viongozi mbalimbali...
Kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabili viongonzi wakuu na Wabunge saba wa CHADEMA imeendelea katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu leo 10/7/2018...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana kwa siku mbili jijini Dar es Salaam katika kikao chake cha kawaida chini ya Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mhe. Freeman Mbowe..
Mnamo Juni 18, mwaka huu, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kinyume kabisa na Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Mwaka 2016, Kanuni ya 99 fasili ya 5, lilizuia kuwasilishwa mezani kwa Hotuba ya Bajeti Mbadala ya Kambi Rasmi ya Upinzani...
Kesi namba 112 ya mwaka 2018 inayowakabili viongonzi wakuu na Wabunge saba wa CHADEMA imeendelea katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu leo 10/7/2018...
Mheshimiwa Spika,kwa niaba ya Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Fedha na Mipango, Mheshimiwa Halima James Mdee, naomba...